Uhakiki Kamilifu wa 22Bet nchini Kenya

Karibu Bonasi
Total rating of 22Bet
4.6/5
92%
Design and Navigation
90%
Bonuses
95%
Odds
96%
Live Bets
91%
Mobile odds
89%
Customer Support
1
Register
Enter in 22Bet today
2
Dai Bonasi yako
Karibu Bonasi
3
Make Deposit
Minimum deposit of €1
Usajili Tembelea 22Bet Kenya
18+ T&C apply | begambleaware.org | Play Responsibly
Article Contents
Last update by Efirbet on : 19 Septemba 2020

Kuhusu 22Bet Nchini Kenya

Kampuni ya 22Bet Kenya imekuwa katika ulingo wa kamari na kuwekeza dau kwa zaidi ya miaka 12 sasa. Kampuni hii ilianzia nchini Urusi mwaka wa 2007. Tangu wakati huo, kampuni hii imekuwa ikijaribu kuipanua soko yake katika sehemu tofauti na hili limechangia pakubwa katika ukuaji wake tangu ilipoanzishwa.

Ukuaji wa kampuni hii ya 22Bet Kenya umechangiwa pakubwa na uwepo wake katika zaidi ya lugha 51 tofauti.Baadhi ya lugha hizi ni Kiingereza, Kijerumani, Kijapani, Kimalay, Kithai, Kirusi, Kihibrania na Kiitaliano miongoni mwa lugha nyingine.

Kama kampuni nyingine za kamari, 22Bet Kenya inawapa wachezaji wake burudani chungu kizima. Baadhi ya sehemu za kamari zake ni kuwekeza dau katika michezo ya mpira, michezo halisi almaarufu virtual sports pamoja na michezo ya moja kwa moja miongoni mwa sehemu nyingine.Kila sehemu ina chaguo kadha za michezo inayowaruhusu wachezaji kuchagua na kushiriki michezo inayowafurahisha.

Kampuni hii bado ni changa mno katika soko ya Kenya na hivyo ina tajriba ya muda mfupi katika soko ya kamari Barani Afrika kwa ujumla. Hivyo, kampuni hii imefanya kazi nchini Kenya kwa muda wa hadi mwaka mmoja. Kwa muda huu mfupi, imetoa bakshishi anuwai na odi za kuvutia kwa wateja wake. 22Bet imesajiliwa na BCLB nchini Kenya na inaendeleza shughuli zake chini ya leseni nambari BK0000121.


Je, Mcheza Kamari Hujisajili Vipi Katika 22Bet?

Fomu ya usajili 22bet

Ili kuwekeza dau katika 22Bet, unafaa kujisajili kama ilivyo kawaida kwa kampuni zote za kamari. Utaratibu wa kujisajili katika 22Bet Kenya ni kama ufuatavyo;

 1. Fungua tovuti rasmi ya 22Bet katika 22bet.co.ke
 2. Guza palipo na alama ya kijani ya kujisajili katika tovuti upande wa kulia
 3. Jaza maelezo yako yanayohitajika (Nchi, nambari ya rununu, sarafu)
 4. Bonyeza alama ya kujisajili
 5. Tembelea sehemu ya ‘akaunti yangu’ na ujaze maelezo yote yanayohitajika

Baada ya hili, akaunti yako iko tayari na hivyo unaweza ukaweka pesa za kuwekeza dau. Katika utaratibu wa kujisajili, unahitaji kujaza maelezo ya ukweli ili kuepuka shida ambazo zinaweza kutokana na maelezo ya uongo. Kumbuka akaunti yako ndiyo itakayokuwa na maelezo yako kikamilifu katika tovuti ya kampuni.

Jiandikishe katika 22Bet


Muundo wa Tovuti – Rasimu na Uabiri

Ukurasa wa 22bet

Tovuti ni kitu muhimu mno kwa wateja. Tovuti nzuri inafaa kuwa rahisi kutumia ili wateja wasiwe na wakati mgumu kinyume na tovuti changamano. 22Bet Kenya ina tovuti rahisi iliyo na kiolesura cha kupendeza na cha kuvutia kwa jicho.

Unapotaka kuzuru tovuti ya 22Bet kwa habari yoyote, una uwezo wa kuziabiri kurasa na vile vile upate habari unayoitaka kwa muda mfupi. Rasimu ya tovuti ya 22Bet ina uabiri wa kimuundo kwani ukurasa mmoja unakuelekeza kwa mwingine. Hivyo, una nafasi ya kusoma habari muhimu unapokuwa katika harakati za kuufikia ukurasa unaoutafuta.

Ni nadra sana kuchanganyikiwa ndani ya tovuti ya 22Bet kwani ina mpangilio mzuri ndani yake.


Kuwekeza Dau katika Michezo ya Mpira

22bet sportsbook

Michezo ya mpira ni chaguo miongoni mwa wengi mno nchini Kenya. Kampuni ya 22Bet imejitolea mno kuwapa wateja wake michezo anuwai ya mpira ambayo wacheza kamari wanaweza kuwekezea dau.

Michezo ya Mpira Inayopatikana

Kampuni ya 22Bet ina sehemu nzima ya michezo ya mpira kama tulivyoona hapo awali. Hapa, kuna michezo kadha wa kadha ambayo wachezaji wanaweza wakawekezea dau. Katika orodha yetu, kuna mchezo wa kandanda, rugby, mpira wa makapu, na mchezo wa bata almaarufu darts. Vile vile kuna mpira wa magongo, magongo ya barafuni almaarufu ice-hockey, na mchezo wa ndondi pamoja na gofu. Unapoamua kuwekeza dau, una nafasi ya kuchagua mchezo utakaoucheza. Tathmini nzuri ni muhimu sana kwani kampuni ya 22Bet ina michezo mingi mno ya kuwekezea dau huku yote ikisubiri uamuzi wako.

Soko za uwekezaji katika 22Bet Kenya

Kila mchezo wa mpira unaweza kuwekezewa dau. Kuna soko kadhaa ambazo bado zinachipuka. Kampuni yenyewe ina ligi anuwai kwa wateja wake. Kwa mfano kuna EPL, Bundesliga, Series A, La Liga,na pia ligi za hapa nyumbani kama Ligi ya Kenya. Kwa jumla, soko hii ya 22Bet inajivunia zaidi ya ligi 1200 namatukio mengine ambayo wacheza kamari wanaweza kuchagua. Baadhi ya soko za kawaida za kuwekeza dau ni kama zifuatazo;

 • Magoli sahihi. Huu ni utabiri wa matokeo ya mechi yote
 • Timu itakayofunga goli kwanza. Utabiri wa timu itakayotangulia kufunga goli kwa muda wa dakika 90
 • Matokeo ya kipindi cha kwanza/kipindi cha pili. Utabiri wa matokeo ya kila kipindi kwa usahihi
 • Matokeo ya mwisho wa mechi
 • Kutabiri kuhusu magoli hasi
 • Sare ya magoli
 • Ukosefu wa sare katika mechi
 • Uwezekano wa timu moja kushinda mechi au kutoka sare
 • Kutabiri mchezaji atakayekuwa wa kwanza kufunga goli na idadi ya magoli katika mechi
 • Ni jukumu lako kutathmini soko hili ili kutambua pale ambapo unaweza ukaunda fedha. Baadaye, wekelea dau na kisha ujikaze kungojea matokeo.
Odi

Katika uhakiki huu wetu, hatukukumbana na kampuni nyingine inayowapa wateja odi za juu kama zile zinazotolewa na 22Bet Kenya. Huendani kwa sababu ni kampuni changa au ni kwa sababu inataka kung’aa miongoni mwa nyingine nyingi. Ukweli nikwamba odi zake ziko juu.

22Bet inatoa odi za aina nyingi kwako kama mteja. Aina hizi ni kama nukta, akisami, odi za Kimalysia, za UK, US na zile za Hong Kong.


Bakshishi ya Michezo ya Mpira kwa Wateja Wapya- Hadi Shilingi 15, 000 za Kuwekeza Dau

22bet sportsbook

Pindi tu unapojisajili na kampuni hii, unafaa kufanya chaguo la kudai bakshishi ya 22Bet Kenya au la. Ukichagua kuifuatilia, unafaa kuweka pesa zisipopungua $1. Kiwango chochote unachokiweka katika akaunti yako, kinazidishwa mara mbili kama bakshishi ya kuwakaribisha wateja wapya. Bakshishi hii haiwezi ikapita shilingi 15,000.

Ni vizuri uelewe kuwa, asilimia 100 ya bakshishi hii pamoja ni za kuwekeza dau katika michezo ya mpira pekee yake. Hivyo, bakshishi hii haiwezi kutumika kuwekeza dau katika mchezo wowote wa kasino kwani pia kasino ina bakshishi yake binafsi.

Pata mafao hayaUwekezaji wa Dau wa Moja kwa Moja

22bet live betting sehemu

Wakati mwingine huna ari ya kuwekeza kutokana na woga wa kushindwa. Hata hivyo, wanaowekeza dau wanapenda kuona jinsi timu wanazoziwekea dau zinavyong’ang’ana uwanjani. Baadaye, wanaweza kuufanya uchambuzi na kuziwekeza dau zao. Chaguo hili la kuwekeza dau baada ya mchuano kuanzia rasmi linajulikana kama uwekezaji wa dau wa moja kwa moja.

22Bet Kenya inatoa nafasi hii kwa wateja wake ili kuwapa nafasi ya kuwekeza dau katika michezo kadha ya moja kwa moja. Katika sehemu ya michezo ya moja kwa moja katika tovuti ya 22Bet, unaweza ukaivinjari orodha ya michezo inayoendelea ili kuchagua moja unayoipenda kuiwekezea dau. Baadaye, wekeza dau yako na kisha ujitazamie jinsi mchuano unavoendelea uwanjani.

Uwekezaji dau wa moja kwa moja unakupa nafasi ya kufuatilia mchuano na unaweza ukafanya uamuzi hata kabla ya firimbi ya mwisho iwapo utashinda au utashindwa katika dau yako.


Utoaji wa Fedha Kabla ya Mechi Kukamilika

Wakati mwingine unaweza ukaiwekeza dau kwa haraka na baadaye ugundue kuwa ulifanya makosa katika dau hiyo. Hili linapotokea, unahitaji nafasi ya kughairi dau hiyo ili kuepukana na hasara baada ya firimbi ya mwisho kupulizwa.

22Bet Kenya inakupa chaguo la kutoa pesa zako kabla ya mechi kuisha. Kupitia chaguo hili, unaweza kubihi badhi ya fedha ulizowekeza. Hata hivyo, huwezi ukatoa kiasi chote cha pesa ulichowekeza katika dau. Kwa hakika, wakati mwingine utapata hasara kwani utaweza kuokoa kiasi kidogo tu cha fedha.

Baada ya kutoa pesa zako, pesa hizo zinaingia katika akaunti yako ya 22Bet kama ilivyo desturi.


Utazamaji wa Michuano ya Moja kwa Moja

Kampuni ya 22Bet ni kampuni changa nchini Kenya. Licha ya hili, kampuni hii imeweza kutoa utazamaji wa michuano ya moja kwa moja kwa wateja wake. Utazamaji huu unakupa nafasi ya kujitazamia mchuano kama unavyoendelea. Hili linakupa nafasi ya kushuhudia jinsi timu inavyoendeleza mchezo kwenye uwanja.

22Bet Kenya inakupa nafasi ya kutazama michuano zaidi ya minne ya moja kwa moja katika michezo 25 ya mpira. Utazamaji huu wa moja kwa moja unapatikana kwa ubora na hili linakupa nafasi ya kugundua kila jambo linalohusiana na mchezo unaoendelea. Ukifuatilia hili, unaweza ukaiwekeza dau kwa urahisi.

Utazamaji wa michuano ya moja kwa moja wa kampuni hii unafanyika kwa takribani kila mchezo. Una uhuru wa kuamua mchezo unaotaka kuutazama kutoka kwa tovuti ya 22Bet Kenya.


Sehemu ya Michezo Halisi ya 22Bet Kenya

22bet michezo ya kubahatisha

Sehemu ya soko ya michezo halisi ni chaguo jingine unapotaka kushiriki uwekezaji wa dau katika 22Bet Kenya. Sehemu hii inakupa nafasi ya kuburudika na kuendeleza ustadi wa michezo, pamoja na fursa ya kukutana na utofauti wa michezo anuwai.

Unaweza ukachagua michezo ya kimtandao unaopenda kucheza katika 22Bet Kenya. Baadhi ya michezo hii ni kamaLeap Gaming, 1X2 Network, Golden Race na Edge Gaming.Michezo ambayo unaweza ukaiwekezea dau chini ya Leap Gaming ni kama Instant Football, Instant Racing, Virtual Trotter, Virtual Tennis, naVirtual Racing, Virtual Football, Virtual Speedway, Grey Hounds na Velodrome.

Katika mchezo wa 1X2 Network, unaweza ukaupata msisimko na furaha ukishiriki katika mchezo wa Virtual Soccer, Virtual Rugby, African Cup, Virtual World Cup, Football Pro, Virtual Legends andChampions, Euros na Virtual Europa League.

Mchezo waThe Golden Race unajumuisha michezo ya mbio huku Edge Gaming ikijumuisha mchezo wa kuangalia ni nani atayembwaga mwenzake chini katika vita vikali.

Michezo hii yote halisi ya 22Bet nchini Kenya inakuja na odi za juu kwa wateja wake ikilinganishwa na zile za kampuni nyingine za uwekezaji.


Kuweka na Kubihi Pesa kwa Wateja wa Kenya

Kampuni ya 22Bet Kenya ina njia kabambe za kuweka na kubihi fedha za ushindi. Katika sehemu hii, tutaangazia njia hizi na masharti yake. Waama zinaweza zikawekwa katika makundi tofauti ambayo ni kadi za benki, mikoba ya kielektroniki, cryptocurrency, malipo kwa simu za rununu pamoja na benki za kimtandao.

Katika kila kundi, kuna mashirika na platifomu tofauti za kufanikisha malipo. Habari hii muhimu imeonyeshwa katika jedwali hili;

Payment MethodDeposit MinimumDeposit MaximumTime for DepositMinimum WithdrawalWithdrawal MaximumTime for Withdrawal
Visa€1-Mara moja€1.50-hadi siku 7
MasterCard€1-Mara moja€1.50-hadi siku 7
Skrill€1-Mara moja€1.50-dakika 15
Skrill 1-Tap€1-Mara moja
WebMoney€1-Mara moja€1.50-dakika 15
Perfect Money€1-Mara moja€1.50-dakika 15
Sticpay€1-Mara moja€1.50-dakika 15
ePay€1-Mara moja
Neteller€1-Mara moja€1.50-dakika 15
EcoPayz€1-Mara moja€1.50-dakika 15
Payeer€1-Mara moja€1.50-dakika 15
Neosurf€1-Mara moja
Bitcoin€1-Mara moja€1.50-dakika 15
Litecoin€1-Mara moja€1.50-dakika 15
Dogecoin€1-Mara moja€1.50-dakika 15
Cryptocurrencies€1-Mara moja€1.50-dakika 15
Flexepin€10-Mara moja

Vile vile kuna njia nyingine ambazo zinakubalika kama mojawapo ya njia za malipo katika 22Bet Kenya. Njia hizi ni kama M-Pesa na huduma ya Airtel Money.


Programu ya Rununu ya 22bet

Toleo la simu ya 22betWaama, matumizi ya programu ya rununu yanarahisisha mambo mno kwa wateja wa kamari tunapoilinganisha na matumizi ya tovuti. Programu hii ni rahisi kutumia kwani inampa mteja kujivunia na faragha kinyume na matumizi ya tovuti ambayo inaweza ikadidimia kwa sababu za kitrafiki.

Kwa wakati huu baadhi ya kampuni zimelaki matumizi ya programu za rununu miongoni mwa wateja wake. Hata kampuni ya 22Bet Kenya haijaachwa nyuma kwa hili kwaniimebuni programu kwa watumizi wa android na wa iOS ili kuwapa faragha wachezapo. Programu hii ya 22Bet inakupa njia murwa ya kuwekeza dau na vile vile kuzifikia mechi tofauti zinazoendelea moja kwa moja. Licha ya hayo, inakupa fursa ya kupata takwimu za michuano mbali mbali bila kuitembelea tovuti.

Kando na huduma hizi, unaweza ukapata habari zozote unazohitaji kuhusu malipo na fedha zako. Unaweza ukaweka na pia kutuma ombi la kubihi pesa wakati wowote ule popote ulipo.

Programu ya rununu ya 22Bet Kenya inakujia kwa kiolesura cha kuvutia ili kuboresha mwingiliano wako na kampuni hii.


Programu ya Ushirika

Kampuni ya 22Bet Kenya ndiyo inayosimamisha 22Bet Partners Affiliate Program. Programu hii ya ushirika ina baadhi ya chaguo za dau katika michezo tofauti kwa wacheza kamari wanaojiunga na kampuni hii.

Kando na soko la michezo ya mpira, washirika wako wote wanaweza furahia kuwekeza dau katika michezo ya kasino ya 22Bet Kenya. Hatimaye, idadi ya washirika wako ndiyo inayoamua komisheni utakayoipokea kutoka kwa 22Bet Kenya.

Ukifaulu kuwaleta wateja kupitia kwa programu hii ya ushirika, watakuwa na uhuru kama wewe. Kulingana na programu hii, watafurahia baadhi ya chaguo za michezo ya moja kwa moja pamoja na faragha ya njia anuwai za kuyafanya malipo. Zaidi ya hayo, 22Bet haina ubaguzi wowote kuhusu unakotoa wateja wako. Pindi mteja anapojisajili nakiunga cha ushirika wako, unapata komisheni.

Kwa sababu programu hii inafanya kazi kwa njia mbili, unajipatia komisheni unapowaleta wateja kupitia kwa kiunga chako. Jinsi unavyowaleta wateja wengi, ndivyo unavyopata komisheni nyingi. Wakati unapopata kati ya washirika kati ya 0 -15, unapata komisheni asilimia 25. Kiwango hiki kinaongezeka hadi asilimia 30 kwa washirika 6-15 na asilimia 35 kwa washirika 16-35. Kwa yeyote anayeweza kupata washirika zaidi ya 35 kwenda juu, kuna komisheni nono ya asilimia 40. Komisheni zote zinahesabiwa kwa jumla ya fedha ambazo kampuni inapata kutoka kwa mteja wako.

Kampuni ya 22Bet ndiyo inayolitwaa jukumu la kubuni vifaa vya kuendeleza kampeni za mauzo ili kuwatongoza wateja. Kazi ya kutumia vifaa hivi kuwaleta wateja kwa kampuni ni jukumu lako. Kumbuka ya kwamba kiwango cha komisheni yako ya mwisho kinategemea kufaulu kwako katika kuwaleta wateja wapya kwa 22Bet. Baadhi ya sheria na masharti ya kujiunga na programu ya ushirika ya 22Bet ni kama yafuatayo;

 • Ni lazima ukuwe na umri wa miaka 18 au zaidi
 • Wale wanaojiunga na kiunga chako wana jukumu la kuhakikisha usalama wa maelezo yao binafsi kama nywila na vitambulisho
 • 22Bet ina uhuru wa kukataa ombi lako la ushirika na haina jukumu la kutoa maelezo ya uamuzi huu
 • Washirika wanapewa vifaa vya kufanyia 22Bet kampeni za mauzo ambavyo ni vya kuona pekee. Hata hivyo, wana uhuru wa kuvitumia wapendavyo katika tovuti zao.
 • Washirika hawana kibali cha kuzifanyisha kuki kazi
 • Mhusika katika programu hii ana nafasi moja pekee ya kujisajilisha

Maswali Yanayoulizwa kwa Wingi

22Bet Kenya inatoa nafasi ya kasino?

Nitafanya vipi ili bakshishi yangu ya makaribisho niliyotuzwa na 22Bet ianze utenzi?

Ni kipi kiwango kidogo zaidi cha fedha ninachoweza kuweka nikitumia kadi ya Visa?

Kwa washirika 45, nitapata komisheni kiasi kipi?

Bakshishi ya kiwango cha juu zaidi ambayo naweza kuipata kama makaribisho kwa 22Bet ni ipi?

Je, kuna bakshishi spesheli kwa watumizi wa program ya rununu?

Kando na bakshishi ya makaribisho, kuna bakshishi nyingine yoyote?


Msaada wa Wateja

Msaada wa wateja wa 22Bet Kenya unapatikana kwani malalamiko, maswali na komenti za wateja zinajibiwa kwa wakati. Unaweza ukawasiliana nao kwa baruapepe au kwa live chat. Majibu yao kwa njia ya baruapepe yanachukua hadi muda wa saa 24 na moja kwa moja katika live chat.


Njia Za Mawasiliano

Unaweza kuwasiliana na 22Bet Kenya kwa kupitia njia hizi:

22Bet Kenya pia inawapa wateja nafasi ya kutuma jumbe kwa njia ya fomu za kimtandao.


Maneno ya Kuhitimisha na Ukandiliaji wa Ubora wa Bakshishi za 22Bet Kenya

Huku tukiangazia jinsi kampuni nyingine zinavyojiendeleza sokoni ya kamari, 22Bet ni mojawapo ya kampuni zilizo na odi za juu pamoja na bakshishi anuwai. Hili linaweza likafanya kampuni nyingine kujizatitiili kuweza kuingia katika mashindano na 22Bet. Kampuni kama 22Bet Kenya linaipa kamari mwamko na shepu mpya nchini Kenya. Hii ni kampuni ya kutazama jinsi inavyojiendeleza.

Katika uhakiki wetu, tunaikadiria 22Bet Kenya kwa kuipa vinyota 4.7/5 chini ya kumi kwa utofauti wake katika utendakazi ndani ya ulingo wa kamari nchini Kenya.

Jiunge na 22Bet Kenya

Kristiyan Kyulyunkov

Author Kristiyan Kyulyunkov

Being a part of Efirbet’s team, Kris is actively involved in the process of creating content and publication of reviews, predictions, and news on the site. He is the author behind the professional guides, strategies and analyses you can find on efribet.com

X