Msimbo Tuzo katika Kampuni ya 22Bet humu Kenya

Msimbo Tuzo katika Kampuni ya 22Bet humu Kenya
Rating 5.0 from 2 reviews
Valid for : 30 Nov 2022
Karibu Bonasi


Aina ya BonasiMaelezoNambari ya bonasi
Msimbo wa Bonasi ya Michezo22_1540Tumia Nambari
Karibu ziadaKSH15,000Msimbo wa kufunua
Bakshishi ya kila siku ya Ijumaaasilimia 100 ya pesa kwenya akauntiMsimbo wa kufunua

Ni wapi ambapo utauandika msimbo wa Kutuzwa almaarufu Promo code?

Ili kufurahia bakshishi tofauti katika 22Bet, ni lazima ujisajili na kampuni hii kwanza. Utaratibu wa kujisajili unahusisha hatua chache kama zilivyoorodheshwa hapa:

22bet uwanja wa msimbo wa bonasi
 1. Itembelee tovuti kamilifu ya kampuni hii
 2. Fuata maagizo yote ili ujiandikishe kama mteja
 3. Hakikisha umejaza sehemu zote unazotakiwa ili usajili uwe kamilifu
 4. Kamilisha shughuli hii kwa kujisajili hatimaye
 5. Mwishowe fungua upande wa akaunti yako na uyatoe maelezo zaidi

Get 15 000 KES bonus

Huhitaji kodi ya tuzo ili kufurahia baadhi ya bakshishi za kampuni hii. Hata hivyo, kama una msimbo wowote wa 22Bet unaweza ukautumia. Wakati unapojisajili katika chaguo la sarafu, unaweza kuuweka msimbo wako wa kutuzwa almaarufu promo code hapa.


Tunuku la michezo ya Spoti la Kwanza- Kiwango cha juu Zaidi kikiwa Shilingi 15,000

22bet sportsbook

Baada ya kujiandikisha na 22Bet, ni jukumu lako kuhakikisha umeitisha bakshishi hii ya michezo ya spoti iwapo ungetaka. Ukifanya uamuzi wa kuidai, ingiza msimbo wetu wa ziada 22_1540 basi hapo ni lazima ujaze akaunti yako kwa kiwango kidogo sana cha pesa ambacho ni Shilingi 100. Pesa zozote uwekazo kwa akaunti yako zinaingia mara mbili ili kukukaribisha katika kampuni hii. Hata hivyo, kiwango unachotuzwa hakiwezi kikapita elfu 15,000 taslimu.

Tena, kuna uwezekano wa pesa hizi kuongezwa kwenye akaunti yako na uweze kuwekeza dau nazo. Zawadi hii ya kwanza kwa wateja wapya haiwezi ikahusishwa na michezo mingine kama ya kamari. Kasino ya 22Bet kwa mfano, pia ina zawadi zake kando.

Bakshishi hii ya mwaliko hutolewa chini ya kanuni na makubaliaono kama ilivyo desturi. Kanuni hizi na masharti ni kama zifuatavyo:

Read more
 • Pesa ndogo sana za kuweka ili upokee bakshishi ni $/€1. Vile vile, ile bakshishi kubwa sana ambayo unaweza ukapata ni hadi elfu 15,000.
 • Unapokea tuzo hili lako pindi tu unapoweka kiasi cha fedha kinachokubalika kama kiwango cha kwanza cha fedha kwenye akaunti yako.
 • Unapoweka bakshishi yako katika akaunti, haiwezi kamwe kubadilishwa au kutumwa katika akaunti nyingine. Vile vile, kubihi pesa kwako kunahitaji kwanza ufanye ukombozi wa bakshishi yako.
 • Mojawapo ya matimizo ya ukomboaji wa tuzo lako ni kuhakikisha kwamba una kiwango cha pesa zilizokiuka zile za bakshishi kwa mara tano kwenye akaunti yako ya kuwekeza dau.
 • Baadaye, unaweza kubihi fedha ulizojishindia.
 • Zile dau unazowekeza ni lazima odi yake ikuwe zaidi ya 1.40. Huna budi kuhakikisha kuwa umefanya machaguo zaidi ya matatu katika kuwekeza dau.
 • Ukombozi wa bakshishi ya mwaliko ni lazima ufanyike kabla ya siku saba baada ya kutuzwa
 • Pindi tu bakshishi yako inapoharibika, bakshishi iliyobaki pamoja na ushindi wote uliotokana na bakshishi hiyo unatolewa
 • Ubihi wowote kutoka kwenye akaunti yako hauwezi ukafanyika kabla ya kumaliza ukombozi wa tuzo lako kwa njia kamilifu
 • Hizi ni mojawapo ya kanuni na makubaliano ambayo ni lazima wanaocheza kamari katika 22Bet Kenya wafuate.

Dai bonasi yako


Ofa za wanaocheza Kamari katika 22Bet humu Nchini

22Bet inajikaza kunawiri katika soko lililo na kampuni nyingi tofauti za kuwekeza dau. Ili kuvutia wateja wapya na kuboresha wale wa kale, 22Bet Kenya wamebuni bakshishi kadhaa kwa kila mcheza kamari. Miongoni mwa zawadi hizi ni:

Bakshishi ya kila siku ya Ijumaa

Ofaa hii ya kila wikendi inawatuza wacheza kamari wa 22Bet Kenya asilimia 100 ya pesa wanazoweka kwenya akaunti kila siku ya Ijumaa. Pesa ndogo sana ambazo unaweza kuziweka kwa niaba ya kutuzwa zawadi hii ni $1 nazo zile nyingi sana ni shilingi 12,000. Ili kupata ofa hii, kila mteja wa 22Bet ni lazima azingatie makubaliano haya:

 • Bakshishi hii ni ya wikendi peke yake
 • Unapotimiza kiwango kinachokubalika ili kutuzwa, bakshishi hii inawekwa akauntini pako
 • Kando na michezo ya spoti, hakuna michezo mingine iliyoidhinishwa kuwezesha ukombozi wa zawadi hii
 • Ukombozi wa zawadi unawezekana iwapo una 3x ya fedha za bakshishi
 • Dau zilizowekwa ni lazima zikuwe katika odi 1.40 au juu na ni lazima ziwe na zaidi ya chaguo tatu za dau
 • Ukibihi kiasi chochote cha fedha kabla ya kuipokea zawadi yako, hutaipokea kamwe
 • Saa 24 ndio muda uliopewa kukamilisha ukombozi wa bakshishi yako. Usipofanya hivyo kwa wakati huo, ushindi wote kutokana na bakshishi unaghairiwa
 • Wateja wa kila uchao ndio tu wanahitimu kupata bakshishi hii
 • Ofa hii inapatikana kwako iwapo una akaunti moja pekee

Zawadi zipi zipo kwa wale wanaocheza kwa njia ya simu tamba?

Kuna bakshishi anuwai zinazotuzwa na kampuni mbalimbali za kamari ili kujishindia wateja. Mfano mzuri ni zawadi ya wateja wa simu tamba almaarufu mobile bonus. Kwa wakati huu, 22Bet Kenya haitoi zawadi ya aina hii. Bali na hilo, wachezaji hawa wananweza wakadai bakshishi nyingine zozote zinazotolewa na kampuni hii. Mifano ya zawadi hizi ni ile ya wateja wapya na ile ya Ijumaa.


Ni zawadi zipi nitapata iwapo sitaweka fedha zozote?

Kila kampuni ya kamari inataka kuwatuza wachezaji ambao wanaweka pesa kila mara. 22Bet Kenya imo katika kundi hili. Hivyo, kampuni hii haina bakshishi yoyote bila kuweka kiwango cha kwanza cha pesa. Lakini tunakuahidi kukupasha iwapo bakshishi kama hiyo itapatikana hivi karibuni katika 22Bet Kenya.


Njia za Malipo

Kampuni ya 22Bet inakupa nafasi ya kufanya malipo yako kwa njia kadhaa.Tutaangazia njia hizi huku tukijaribu kuangazia upungufu na masharti yake. Ni vizuri ukumbuke kuwa njia hizi zinaweza kuwekwa katika makundi kama kadi, njia za kielektroniki, pesa kwa simu, banki ya mtandaoni na pesa taslimu.Njia ambazo hutumika sana sana huku nchini ni kadi na pesa kwa simu.

Katika kundi la kadi za banki, kuna Master card, Visa, na Maestro. Kundi la mikoba ya kielektroniki lina Qiwi, Webmoney na Skrill miongoni mwa nyingine.Vile vile, kuna mbinu kama Etherum, Bitcoin Litecoin na Dogecoin katika kundi la cryptocurrency. Kwa ujumla, 22Bet inakupa zaidi ya njia 150 za malipo.

Miongoni mwa hizi mbinu zote za malipo, fedha chache zaidi ambazo zinakubalika ni $1. Hakuna malipo yoyote yanayotozwa kwa huduma ya pesa hizi na malipo hayacheleweshwi ila tu hutumwa kwa wakati. Kwa kawaida nchini Kenya, pesa kwa njia ya simu ni mojawapo ya mbinu za kufanikisha malipo katika kampuni nyingi mno. Mifano ni njia ya Safaricom ya M-Pesa na ile ya Airtel ijulikanayo kama Airtel Money.

Payment MethodDeposit MinimumDeposit MaximumTime for DepositMinimum WithdrawalWithdrawal MaximumTime for Withdrawal
Visa LogoVisa€1-Mara moja€1.50-hadi siku 7
MasterCard LogoMasterCard€1-Mara moja€1.50-hadi siku 7
Skrill LogoSkrill€1-Mara moja€1.50-dakika 15
Skrill 1-Tap LogoSkrill 1-Tap€1-Mara moja
WebMoney LogoWebMoney€1-Mara moja€1.50-dakika 15
Perfect Money LogoPerfect Money€1-Mara moja€1.50-dakika 15
Sticpay LogoSticpay€1-Mara moja€1.50-dakika 15
ePay LogoePay€1-Mara moja
Neteller LogoNeteller€1-Mara moja€1.50-dakika 15
EcoPayz LogoEcoPayz€1-Mara moja€1.50-dakika 15
Payeer LogoPayeer€1-Mara moja€1.50-dakika 15
Neosurf LogoNeosurf€1-Mara moja
Bitcoin LogoBitcoin€1-Mara moja€1.50-dakika 15
Litecoin LogoLitecoin€1-Mara moja€1.50-dakika 15
Dogecoin LogoDogecoin€1-Mara moja€1.50-dakika 15
Cryptocurrencies LogoCryptocurrencies€1-Mara moja€1.50-dakika 15
Flexepin LogoFlexepin€10-Mara moja

Maswali ya kawaida kutoka kwa wateja

Wakati wa kuutayarisha muhtasari huu, maswali haya ndiyo yaliyoulizwa kwa wingi:

Kasino Ofa ni ya pesa ngapi?

Kiwango kikubwa zaidi cha bakshishi ya kasino katika makaribisho ya wateja wapya ni shilingi 35,000.

Je, 22Bet hukubali Paypal kufanya malipo?

La hasha. 22Bet haikuwa ikikubali Paypal wakati muhtasari huu ulikuwa ukifanywa. Badala ya Paypal, kuna baadhi ya njia nyingine nyingi mno unazoweza kuchagua ili kufanikisha malipo.

Naweza kutumia bakshishi ya makaribisho ya spoti kwenye kasino?

La hasha, haiwezekani kutumia bakshishi ya makaribisho ya spoti kuwekeza dau katika kasino. Bakshishi hii ni ya spoti peke yake.

Nitaaktiveti zawadi yangu vipi?

Njia ya kuifanya bakshishi uliyopewa ianze utenzi ni rahisi. Unafa kuingiza kodi maalum ya zawadi unapomaliza uwekaji wa pesa akauntini yako na kisha uikomboe bakshishi.

Ninaweza kutuzwa bakshishi ya kasino na ya spoti kwa pamoja?

La hasha, hili haliwezekani kamwe.Unapojisajili na 22Bet, unafaa kuchagua akaunti inayofaa kupata bakshishi hiyo. Huwezi ukachagua akaunti zaidi ya moja kwa bakshishi hii.

Ninaweza kutoa pesa wakati nilio na bakshishi?

La hasha, huwezi kubihi bakshishi ya makaribisho au hata ile nyingine ya Ijumaa. Ni lazima ukomboe bakshishi kwanza kabla ya kubihi fedha zozote.

Ninafaa kuchukua muda gani kuikomboa bakshishi yangu ya Ijumaa?

Uko na kipindi cha saa 24 kufanya hivyo. Usipokamilisha ukombozi huu, utapoteza bakshishi yako na fedha ulizojishindia kwa hiyo bakshishi.

Ninafaa kuiweka wapi kodi ya kutuzwa kama ninayo?

Kama una kodi ya kutuzwa, unafaa kuiweka katika nafasi ya kuchagua sarafu unayoitumia.


Msingi wa 22Bet

Kwa muda wa miaka 12 sasa, Kampuni ya 22Bet imekuwa ikifanya kazi kwa juhudi mno katika ulingo wa kamari na dau. Mwanzo wa kampuni hii ni Urusi na imekuwa ikijitahidi mno kuuendeleza ufanisi wake ulimwenguni kote. Hata hivyo, kampuni hii ni mpya mno katika Kamari ya nchini Kenya. Hii ni kwa sababu imekuwa ikifanya kazi humu Kenya kwa muda usiozidi mwaka mmoja na hali ni ii hii hata Barani Afrika kote. Licha ya uzoefu na tajriba ya muda huu mchache hapa Kenya, kampuni hii imewatunuku wateja wake odi za juu pamoja na zawadi tunu tunu. Kampuni hii imeidhinishwsa kufanya kazi hapa nchini na BCLB.


Mbinu za Kuzungumza na 22Bet

Unapotaka kuzungumza na kampuni hii ya 22Bet nchini Kenya, unaweza ukawafikia kwa njia kadhaa kama zilivyoorodheshwa hapa chini:

Kando na njia hizi, unaweza ukaifikia sekta ya msaada kupitia kwa mbinu ya mtandao. Hapa unafaa kujaza fomu kadhaa na kisha kuzituma kwa kampuni kwa msaada wowote ule.


Hitimisho na Ubora wa Zawadi za Kampuni ya 22Bet

Leo hii, Kenya inajivunia kuwa na kampuni kadha wa kadha za kamari. Kila kampuni ina mbinu zake za kuwavutia wateja na 22Bet pia iko mbioni kufanya hivyo. Ili kuhakikisha wameweza kujishindia wateja, wamebuni bakshishi ya makaribisho na ile ya Ijumaa kwa wachezaji wa kamari ya mpira.

Wakati tunapolinganisha vile ambavyo kampuni hii inavyowajumuisha wateja wake pale sokoni, 22Bet imo katika mstari wa mbele kuwatosholeza wateja wake kwa njia anuwai.

Kampuni nyingine pia zimeanza kuuchukua mkondo wa kuwatuza wachezaji kamari wake. Hivi karibuni, wakenya wataweza kujivunia kampuni hizi kwani bakshishi zitakuwa murwa.

Sekta ya kamari Kenya inakua kila uchao nchini na mahali pengine popote. Hili linaashiria kwamba bado kampuni za kuwekeza dau zitazidi kuchipuka. Hili likifanyika, bakshishi zitazidi kuimarika kwani kila kampuni itakuwa katika shindano la kuwafurahisha wateja. Hatimaye, chaguo la kampuni ya kuwekeza dau nayo litakuwa mikononi mwako.

85%
90%
Ofa ya Makaribisho - Spoti
90%
Bonus T&C's
75%
Existing Players Offers

Amount
In Percent
Min. Deposit
Turnover
Min. Odd
15 000 KES
100%
€1
5x
1.40
Dai Bonasi yako
18+ T&C apply | bclb.go.ke | Play Responsibly
Expert Efirbet
Efirbet
Efirbet is your go-to site for the best sports betting tips, bookmakers reviews and online casino rankings.