Msimbo wa Bakshishi wa Betway Kenya

Msimbo wa Bakshishi wa Betway Kenya
Rating 5.0 from 3 reviews
Valid for : 03 Feb 2023
Karibu Bonasi


Aina ya BonasiMaelezoNambari ya bonasi
Betway Kenya Bonasi ya Michezohadi 5000 KShMsimbo wa kufunua
Win Boosthadi 100%Msimbo wa kufunua
Rebound Boosthadi KSh 30 000Msimbo wa kufunua
Mwelekeze Rafiki50 KShMsimbo wa kufunua

Je, Unafaa kuuweka wapi Msimbo wa Mauzo almaarufu promo code?

Nambari ya ziada ya Betway ya Kenya
 1. Kampuni ya Betway haitoi msimbo wowote wa mauzo kwa wakati huu. Hata hivyo, kuna mambo mengi mno ya kujifunza kuhusiana na misimbo hii ya mauzo. Hii ni misimbo maalum inayopeanwa na kampuni unapotaka kukomboa bakshishi inayopeanwa na kampuni.
 2. Betway haina bakshishi zozote zinazokuhitaji kukomboa kwa njia ya kutumia misimbo hii ya mauzo. Wakati wanazo, watakuhitaji kuiweka misimbo hii wakati unapoweka pesa zako katika akaunti ya kuwekeza.
 3. Huu ndio wakati wa kuikomboa bakshishi itayozidisha kiwango cha pesa unachoweka. Wakati unapokomboa bakshishi isiyotokana na uwekaji wa pesa, kuna uwezekano utahitajika kuweka msimbo wakati wa kujisajilisha katika Betway Kenya.
 4. Kila wakati unapohitajika kutumia msimbo wa bakshishi, utapewa kijisanduku ambapo utaweka msimbo unapoweka pesa au unapojisajili upya na Betway Kenya.

Pata Bonasi


Bakshishi ya Asilimia 50 ya Spoti kwa Kuweka Pesa za Kwanza -Hadi Shilingi 5000

Betway inakaribisha ziada kwa wachezaji wa Kenya

Ili kuanza kucheza mchezo wa kuwekeza baada ya kukamilisha usajili wako, ni lazima uweke pesa zako za kwanza katika akaunti yako. Unapofanya hivi, kampuni ya Betway inakutuza bakshishi ya mteja mpya. Bakshishi inalingana na kiwango cha kwanza cha pesa ambazo unaweka katika akaunti yako. Utapewa bakshishi ya asilimia 50 itakayokupa hadi shilingi 5,000 ambazo utapewa kama dau za bure.

Masharti ya Utuzaji wa Bakshishi Hii
 • Bakshishi hii unafaa kuikomboa mara tatu ya kiwango cha pesa zako za kwanza kwa odi 3 au zaidi katika michezo ya spoti na jakpoti.
 • Dau zilizowekwa katika kasino, michezo ya dau almaarufu bet games na michezo halisi haitachangia kamwe katika mahitaji ya kuikomboa bakshishi yako.
 • Angalau dau moja katia slipu yako ni lazima iwe ya ushindi au kushindwa kwa mkombozi kupata ofa hii ya bakshishi ya kwanza.
 • Bakshishi zinazopeanwa kama dau za bure zinatuzwa kwa uhuru wa Beyway.
 • Unapewa muda wa siku 30 kuikomboa bakshishi yako.

Dai bonasi yako


Bakshishi ya Kasino ya Betway Kenya

Unapojiunga na kasino za mtandao, ni jambo la kawaida mno kupata bakshishi unapoendelea kushiriki michezo yake. Bakshishi hizi zinanuiwa kukuvutia na kukuwezesha kuongeza nafasi zako za kujilimbikia ushindi. Hata hivyo, kasino ya Betway haina bakshishi yoyote kwa wachezaji wake hata ingawa tuna matumaini kuwa jambo hili litabadilika hivi karibuni. Ukweli ni kuwa kampuni hii inatayarisha bakshishi moja murwa itakayoelekezwa kwa wateja wake wa kasino.


Ofa Kwa Wateja wa Kawaida wa Betway nchini Kenya

Kama mteja wa Betway Kenya, kuna bakshishi anuwai ambazo unaweza ukajipatia unapoendelea na michezo yako. Bakshishi hizi zinasaidia kuhakikisha una wakati wa kusisimua na umetunukiwa unaposhiriki dau katika tovuti ya Betway. Katika sehemu hii, tumehakiki baadhi ya bakshishi za Betway ambazo tunaamini zitakuinua utakapokuwa ukiendeleza uwekezaji dau katika platifomu hii.

Kuboresha na Kuinua Ushindi

Bakshishi hii inaziongeza nafasi zako za kushinda beti nyingi kwa kuziboresha kwa kiwango cha asili 100. Kila mchezo ulio na zaidi ya odi ya 1.2 unaowekwa kwenye slipu yako ya dau unaziboresha nafasi zako za kujishindia. Jinsi ulivyo na michezo mingi katika slipu yako ndivyo nafasi zako zinavyozidi kuongezeka.

Masharti ya Bakshishi Hii

 • Bakshishi hii inatolewa kwa akaunti yoyote halali na inayofanya kazi
 • Ushindi ulioboreshwa unapatikana kwa ukombozi wa michezo kwa pesa taslimu
 • Matukio 5 yatakupa uboreshaji wa asilimia 5 na hili linaongeza jinsi unavyoongeza dau zako kwenye slipu
 • Odi za kiwango cha chini zaidi zinazokubalika ni 1.2 kwa kila mchezo
 • Beti moja, dau za michuano na zile za wazi hazikubaliki kukupa bakshishi hii
 • Ushindi ulioboreshwa unawekwa kwenye akaunti yako kama pesa taslimu
Bakshishi ya Uboreshaji Iliyofungamanishwa almaarufu Rebound Boost

Bakshishi hii inakujia wakati unakaribia kuungua na unapong’ang’ana katika mojawapo ya dau zako. Ili kuhakikisha wateja katika hali hii wamenufaika kuziongeza baki zao kwenye akaunti zao za uwekezaji, Betway inawapa bakshishi hii.

Mwelekeze Rafiki na Ujishindie dau ya Bure ya Shilingi 50

Kuwekeza dau ni furaha mno wakati unaposhiriki pamoja na marafiki zako. Hata na wakati unapowakaribisha wengine katika tovuti ili kuwekeza, Betway nayo inakupongeza kwa bakshishi maalum. Bakshishi hii ni dau ya bure ya shilingi 50.

Ili kuhitimu kupata bakshishi hii, kiwango cha pesa cha chini zaidi ambacho unafaa kuweka kwenye akaunti yako ni shilingi 50. Baadaye, kuna fomu maalum ambapo unafaa kujaza nambari ya rununu ya rafiki ambaye ungependa kumkaribisha. Rafiki huyo atapata msimbo wa kampeni ya mauzo almaarufu promo code kwa njia ya ujumbe mfupi. Unapata bakshishi hii rafiki yako anapotumia msimbo huo wakati wa kujisajili katika Betway. Msimbo huu, unafaa kutumiwa kwa muda usiopita siku 14. Ni vizuri ujue kuwa huyo rafiki uliyemleta ni lazima kwanza aweke kiasi kisichpongukia shilingi 49 na awekeze kiasi hiki katika zaidi ya mara tatu ili upewe bakshishi yako.

Baada ya kutimiza mambo haya yote, papo hapo unapata bakshishi ya shilling 50.


Je, Kuna Bakshishi ya Rununu?

Betway Kenya ina bakshishi nyingi mno kwa wateja wake wote. Hata hivyo, kampuni hii bado haijaanzisha bakshishi za matumizi ya rununu peke yake. Hili haliimanishi kuwa hutapata nafasi ya kujishindia na kufurahia bakshishi kutoka kwa Betway. Kwa sababu unaweza ukaifikia tovuti ya Betway kupitia kwa rununu yako, kuna uwezekano mkubwa wako kudai bakshishi kadhaa kwa kupitia simu yako ya rununu. Kutokana na jambo hili, hakuna haja yoyote yako kuwa na bakshishi maalum kama mtumizi wa rununu. Hata hivyo, tutakujuza iwapo Betway itaanzisha utuzaji wa bakshishi kwa watumizi wa rununu.


Je, Betway Inapeana Bakshishi Yoyote kwa Wateja Bila Kuweka Pesa kwenye Akaunti?

Mara nyingi bakshishi hii hutolewa na kampuni kwa wateja wapya na hakuna pesa unafaa kuweka kwa akaunti ili utuzwe. Hata hivyo, Betway haina bakshishi yoyote ya aina hii kwa wateja wake. Badala yake, wateja hawa wanapata bakshishi nyingine tofauti pindi tu wanapojiunga na Betway. Baadhi ya bakshishi hizi ni kama ile ya makaribisho, ile nyingine ya maongezo ya fedha almaarufu reload bonus pamoja na bakshishi ya uboreshaji. Ukiwa na tuzo kama hizi, ni nadra kufukiria kuhusu bakshishi nyingine ambazo hazipo kwa kampuni hii.


Njia za Malipo

Katika sehemiu ya malipo, unafaa kuongeza njia yako ya benki unayoipenda katika akaunti yako. Unapofanya hivyo, hakikisha kwamba maelezo yaliyo kwenye kadi yako ya benki yanalingana na yale yaliyopo kwenye akaunti yako ya Betway.

Baadhi ya njia za malipo kwa njia ya rununu katika Betway Kenya ni kama M-Pesa na Airtel Money. Vile vile, kadi za benki pia zinatumika na miongoni mwazo ni Mastercard na Visa.

Katika upande wa kubihi pesa, njia uliyoitumia kuweka pesa hizo ndiyo itakayotumika katika kuzitoa. Ubihi wa pesa unaweza ukafanyika kwa mara nyingi kulingana na masharti yaliyowekwa na kampuni inayokupa huduma hii ya pesa. Baadhi ya wanaotoa huduma hizi za pesa wanalipiza huduma hizo.

Kwa wakati mwingine, kampuni hizi kwanza zinafanya uhakiki wa kina ili kuhakikisha na kuthibitisha kuwa wewe ndiye mwenye akaunti na kuwa u halali kabla ya kufanikisha shughuli zako za kifedha. Utatakiwa kuthibistisha kitambulisho, anwani, nakala za kadi zako za benki na hati nyingine zinazosaidia kukutambulisha.

Baadhi ya Hati ambazo zinaweza zikaitishwa ni kama zifuatazo:
 • Leseni ya uendeshaji, kitambulisho kilicho na picha au pasipoti.
 • Ithibati ya pini yako ya kulipa ushuru ya KRA
 • Bili za matumizi ya kawaida nyumbani kama vile stima au simu ya nyumbani
 • Nakala ya upande wa mbele na nyuma ya kadi yako ya benki
 • Ithibati ya umiliki wa mkoba wa rununu wa malipo
Mambo Unayopaswa Kuyajua Kuhusiana na Pesa katika Akaunti yako ya Betway
 • Pesa zilizoko kwenye akaunti yako hazipati riba yoyote
 • Uhamishaji wa pesa miongoni mwa akaunti haujakubalishwa
 • Kuongeza au kubadilisha maelezo yanayohusiana na malipo yanaweza tu yakafanyika kwa kuzungumza na usaidizi wa wateja
Payment MethodDeposit MinimumDeposit MaximumTime for DepositMinimum WithdrawalWithdrawal MaximumTime for Withdrawal
Airtel LogoAirtelKSH 10KSH 70 000ImmediateKSH 80KSH 70 00/per dayup to 24 hours
M-Pesa LogoM-PesaKSH 10KSH 70 000ImmediateKSH 80KSH 70 00/per dayup to 24 hours
Visa LogoVisaKSH 10KSH 70 000ImmediateKSH 80KSH 70 00/per dayup to 24 hours
MasterCard LogoMasterCardKSH 10KSH 70 000ImmediateKSH 80KSH 70 00/per dayup to 24 hours

Maswali Yaliyoulizwa kwa Wingi

Je, kuna bakshishi ya makaribisho katika Betway?

Naam, Betway inakupa bakshishi ya makaribisho inayokupa zaidi ya shilingi 5000 kama dau ya bure.

Je, Betway ina bakshishi yoyote pasi kuweka pesa kwenye akaunti?

La hasha, Betway haina bakshishi ya aina hii kwa sasa.

Fedha zangu za ushindi zitapata riba yoyote baada ya kukaa kwenye akaunti?

Hili haliwezekani kamwe. Betway haina huduma za uzalishaji wa fedha na hivyo basi pesa zako hazitapata riba yoyote zinapokaa kwenye akaunti.

Ni bakshishi zipi za rununu zinazotolewa na kampuni ya Betway kwa wateja wake?

Kampuni ya Betway inawapa wateja wake nafasi ya kuwekeza dau kupitia kwa rununu. Hata hivyo, haina bakshishi yoyote kwa wateja hawa wanaotumia rununu.

Je, kuna mahitaji yoyote katika ukombozi wa bakshishi katika Betway?

Naam, bakshishi zote zitolewazo na Betway zina masharti ya kutimiza katika ukombozi na ni lazima yatimizwe ili uweze kubihi ushindi utokanao na bakshishi hizi.

Ninafaa kuchukua muda kiasi kipi kabla niyatimize masharti ya kukomboa bakshishi yangu ya makaribisho?

Ili kumaliza shughuli hii muhimu, unapewa muda wa siku 30 kumaliza ukombozi li upate bakshishi yako ya makaribisho.

Ninaweza kupata ofa yoyote ya kasino ya Betway?

Kwa wakati huu, Betway haina bakshishi yoyote wala ofa kwa sehemu yao ya kasino.

Je, ninahitaji msimbo wowote ili kupata bakshishi ya Betway?

La hasha, huhitaji kodi yoyote ili kupata bakshishi za Betway.


Maelezo kuhusu Kampuni ya Betway

Kampuni ya Betway tayari imejiendeleza na kuwa mojawapo ya platifomu bora katika ulingo wa uwekezaji dau na kamari barani Afrika. Sana sana, Betway imejilimbikia sifa si haba katika utoaji wa michezo murwa ya spoti mtandaoni. Kampuni hii inawathamini wateja wake na hivyo inawapa bakshishi murwa na nafasi za kuwekeza dau katika tarakilishi na rununu kwa huduma ya tovuti na ujumbe mfupi.

Betway ilianzisha biashara nchini Kenya mwaka wa 2015 na inanuia kuwapa wakenya wanaopenda kamari nafasi murwa za kushiriki katika michezo ya ushindi mkubwa na hata mdogo. Waama, kampuni hii ilivunja rekodi baada ya kuwatuza wateja watatu jakpoti ya shilingi milioni 8.5 katika usiku mmoja mwaka wa 2015.

Betway ina kibali cha kuendeleza shughuli zake nchini Kenya kwani imesajiliwa na Bodi inayotoa leseni na kudhibiti kamari BCLB.


Njia za Mawasiliano


Hitimisho na Makadirio ya Ubora wa Bakshishi za Betway

Kutokana na uhakiki huu, Betway, bila shaka ni mojawapo ya kampuni bora katika ulingo wa kamari kwa kufuatia odi zake za hali ya juu na bakshishi anuwai. Bakshishi hizi, zinampa kila mteja nafasi ya kufurahia uwekezaji wa dau. Kwa hili, tunaweza tukapendekeza kampuni hii kwa wacheza kamari wa Kenya.

85%
75%
Ofa ya Makaribisho - Spoti
85%
Bonus T&C's
88%
Dau za Bure
90%
Existing Players Offers

Amount
In Percent
Min. Deposit
Turnover
Min. Odd
KSh 5,000
50%
KSh 10
3x
3.0
Pata Bonasi Hii
18+ T&C apply | bclb.go.ke | Play Responsibly
Betting expert Kristiyan Kyulyunkov
Kristiyan Kyulyunkov
Being a part of Efirbet’s team, Kris is actively involved in the process of creating content and publication of reviews, predictions, and news on the site. He is the author behind the professional guides, strategies and analyses you can find on efribet.com