Uhakiki Mkuu wa Betway Tanzania

Bonasi ya Ukaribisho 10,000 TSh
Last update by Efirbet :

Katika ulingo wa beti na kamari, kampuni ya Betway ni mojawapo ya kampuni za kigeni ambazo zimenawiri na kusheheni zaidi hapa Afrika. Kampuni ya Betway iliyoanzishwa nchini Malta mwaka wa 2006 imeweza kupenya katika nchi za Kenya, Uganda, Afrika Kusini, Nigeria na Tanzania, ambayo tunachambua katika uhakiki wetu wa leo.

Katika uhakiki huu mkuu wa Betway Tanzania, tutakuwa tunazungumzia vigezo anuwai. Mifano ya vigezo hivi ni kama spoti, masoko, odi na jinsi ya kusajili akaunti ya Betway. Tutaweza pia kuangazia jinsi Betway inawapa sapoti wateja wake na njia za malipo zipatikanazo. Kwa sasa, naomba twende moja kwa moja katika kigezo cha kwanza ambacho ni usajili wa akaunti. Je, u tayari?


Usajili wa Akaunti katika Betway

Usajili wa akaunti katika Betway unachukua takribani dakika mbili. Kwa muda huu, utakuwa na fomu ya kujaza itakayohitaji maelezo yako ya binafsi na uhondo huu wote tumeupanga katika hatua kama zilivyo orodheshwa hapa chini:

Usajili wa Betway
 1. Katika kivinjari chako, fungua tovuti ya Betway Tanzania na kisha ubofye kijisehemu cha usajili kilichoko kwenye kona ya kulia.
 2. Weka maelezo yako ya kibinafsi ukianza na nambari ya simu, jina lako la kwanza na la pili, baruapepe and kisha uchague lugha na mengineyo
 3. Weka tarehe yako ya kuzaliwa na msimbo wa bakshishi kama unao na kisha ukubaliane na mambo kadhaa muhimu ukianza na sera ya faragha na sheria na masharti ya Betway
 4. Bonyeza linki ya kijani iliyoandikwa ‘Jisajili’ ili kutamatisha zoezi hili muhimu.

Sajili huko Betway


Tathmini la Tovuti ya Betway – Mpangilio na Maelezo

Ubunifu wa Betway

Betway Tanzania ni tovuti iliyo rahisi kutumia. Inavutia sana kwa matumizi ya rangi tatu tofauti zilizopangwa vizuri na kutumika kwa ufasaha wa hali ya juu. Kando na rangi, mpangilio wa menu na orodha katika tovuti ni vivutio kikubwa kwa kuwa vinakupa nafasi ya kuabiri tovuti kwa urahisi.

Uabiri wa Betway Tanzania ni wa haraka mno kwa sababu tofauti. Mojawapo ya sababu hizi ni kuwepo kwa viungo kamilifu visivyokatika na kisha kurasa zinazolodi kwa kasi. Hatimaye, tovuti yenyewe haina maelezo mengi ya kukuziba kuona mengine muhimu.

Ili kukusaidia katika uabiri, Betway ina menu tatu kuu na ya kwanza iko katika sehemu ya juu ya kushoto na kuna nyingine chini yake. Menu ya tatu utaipata katika sehemu ya chini ya tovuti.


Spoti zipatikanazo kwenye Tovuti ya Betway

Kitabu cha michezo cha Betway

Unapoamua kusajili akaunti yako na kushiriki michezo ya beti katika Betway, una fursa ya kukutana na michezo iliyorekodiwa kwenye orodha hii hapa chini:

 • American Football
 • Bandy
 • Baseball
 • Basketball
 • Biathlon
 • Boxing
 • Cricket
 • Cycling
 • Darts
 • Golf
 • Handball
 • Ice Hockey
 • MMA
 • Rugby
 • Snooker
 • Table Tennis
 • Tennis
 • Volleyball
 • Air Hockey
 • Alpine Skiing
 • Aussie Rules
 • Beach Volleyball
 • Bowls
 • Cross Country Skiing
 • eSports
 • Floorball
 • Football
 • Formula 1
 • Futsal
 • Horse Racing
 • NASCAR
 • Politics
 • Ski Jumping
 • Specials
 • Speedway
 • Surfing
 • TV Shows and Movies
 • Water Polo
 • WWE
Masoko ya Bet katika Betway Tanzania

Betway Tanzania inapendwa sana nchini Tanzania kwa sababu ya kina chake kipana cha masoko. Uchaguzi huu mkubwa wa masoko unawezesha wateja wa Betway kufanya uamuzi mzuri wanapoweka beti zao kwani wana machaguo mengi. Kumbuka kila soko lina beti zake maalum na kinachokufurahisha wewe ni tofauti na kinachomfurahisha mwenzio. Hivyo basi, Betway imeamua kuwa na masoko kadha ili kuyakita mahitaji yenu ninyi wote.

Baadhi ya masoko katika Betway ni kama match results (1×2), Unders/overs, Double Chance(FR), overall winner, draw no bet, next goal, both teams to score, handicap, handicap (1×2), timu itakayoshinda mechi yote na mengine mengi. Unapoweka beti yako, unahitajika kuselekti soko moja na uyachanganue matukio ya beti ili upate nafasi ya kushinda pesa taslimu.

Na Kuhusu Odi je?

Betway ni kampuni maarufu kwa kuwapa wateja wake odi za kusisimua. Odi hizi angalau zinakupa nafasi ya kujishindia kitita kizuri cha fedha kulingana na steki yako. Vile vile, utapata kuwa odi zote zinakuja kwa njia ya desimali au akisami. Unaweza kubadilisha mfumo wa odi katika akaunti yako kama upendavyo.


Ofa ya Mwaliko ya Spoti katika Betway Tanzania

Bonasi ya kukaribisha michezo ya Betway

Iwapo wewe ni mteja mpya katika Betway Tanzania, basi tuseme wewe una bahati kama mtende. Hili ni kwa sababu wateja wote wanaosajili akaunti katika Betway kutoka 13/07/2021, wanapewa kitita cha ubashiri wa bure pasi na kuhitajika kuweka fedha zozote katika akaunti zao. Zawadi hii unapewa ili kukuwezesha kuanza safari yako ya dau katika tovuti hii maarufu.

Lakini, ni vizuri ufahamu kwamba kila njema nalo lina uzito wake. Uzito wa bakshishi ya mwaliko ya Betway utauhisi katika sheria na masharti ya ofa hii kama yafuatavyo:

 • Lazima uwe umetimiza umri wa miaka 18 ili kupokea bakshishi hii
 • Ubashiri huu unakuruzuku jumla ya 3000TZS ambazo ni ubashiri wa bure utumikao katika spoti pekee.
 • Pindi tu unapotoa fedha, salio la ubashiri wako litachukuliwa na Betway
 • Una siku 180 kuutumia ubashiri wako wa bure kutoka siku uliyozawadiwa ubashiri huo
 • Betway ina ruhusa ya kubadili kanuni na vigezo vya bakshishi hii wakati wowote bila kutoa ilani kwa wateja wake
 • Ili ufaidike nao, ubashiri wa bure lazima uwekwe kama beti moja.

Pata Bonasi yakoKuweka Beti Michuano Inapoendelea

Uchezaji wa Betway

Je, wajua kuwa unaweza kuweka beti yako kama kawaida huku michuano ikiendelea? Ili kufanya hivi, bonyeza sehemu ya ‘zinazoendelea’ katika menu ya pili ya Betway ili kupata michuano yote inayoendelea kwa wakati huo. Hapa, unaweza kujitazamia aina mbali mbali za michezo na kisha uchague moja itakayokuwezesha kupata ushindi.

Tulipokuwa tunachapa kazi yetu hii ya kutathmini sehemu hii, tulipata spoti kadhaa zilizokuwa na matukio yaliyokuwa hewani. Hizi ni kama soka, mpira wa wavu, rugby, tenisi, tenisi ya mezani, baseball na field hockey. Sehemu hii ni ya manufaa sana kwani unaweza kuweka beti huku ukitazama jinsi timu uipendayo inavyochuana na mpinzani wake.


Sifa kuu na zile Muhimu katika Betway

Ili kuifanya Betway nambari wani miongoni mwa tovuti nyingi za kamari, kampuni hii imejitahidi sana na kuwatolea wachezaji wake sifa kadha za kutia michezo ladha. Sifa hizi ni kama zifuatazo:

Utoaji kamili kabla ya mchuano/ Utoaji wa sehemu ya beti kabla ya mchuano kuisha

Katika huduma hii ya cash out na partial cash out, unaweza kutoa fedha zako kabla ya mechi kuisha. Hudumu hizi ni bora ili kukupa angalau fedha kidogo za beti yako iwapo unaona kama beti hiyo itaambulia patupu. Utoaji kamili unakupa nafasi ya kutoa fedha zote kwenye beti ilhali utoaji wa sehemu moja unakupa fursa ya kutoa sehemu tu ya fedha ulizoweka kama beti.

Kutazama Michuano moja kwa moja almaarufu live streaming

Utazamaji wa michuano wa moja kwa moja almaarufu live streaming ni huduma inayokupa chansi ya kuangalia tukio moja kwa moja kwenye tovuti ya Betway. Sifa hii muhimu itakupa fursa ya kufanya uamuzi bora na wa busara iwapo timu yako ina nafasi ya kushinda au la.

Ukiambatisha sifa hii na ile ya cash out, zitafanya kazi vizuri kwani ukitazama mechi uone ni kama utafeli kwenye beti, basi unaweza kutoa fedha kabla ya kipenga cha mwisho.

Hata hivyo, fahamu kuwa sio kila tukio lililo na huduma hii. Matukio yaliyo na utazamaji wa michuano ya moja kwa moja yana ishara ya tv hapo kando.

Kijenga Beti

Kijenga beti almaarufu bet builder ni huaduma muhimu unayopewa na Betway ili kukusaidia kuijaza beti yako ya mkusanyiko kutoka kwa tukio au mechi moja kwa urahisi. Ili kukipata na kukitumia kijenga beti, ingia kwenye spoti unayoichagua na kisha uibonyeze. Kitu cha kwanza kuona ni kijenga beti ambacho kitakuwezesha kuchagua matukio kwa ufasaha mkubwa na kwa kasi.

Statistiki

Kila mechi ina statistiki zake katika Betway. Njia mwafaka ya kupata statistiki hizi ni kutumia sifa nyingine tulizotaja hapa kama ile ya utazamaji wa mechi wa moja kwa moja kwenye tovuti na ile nyingine ya kuweka beti katika michuano inayoendelea. Hapa utapata statistiki za tukio ulilochagua na utaweza kuamua kuhusu beti na soko zake kwa busara kubwa.

Matoleo ya Moja kwa Moja kama Mechi Inavyoendelea

Unaweza kupata matokeo ya mechi ya moja kwa moja almaaufu live score wakati mechi inaendelea. Hapa, unahitaji kutazama tu matokeo haya katika sehemu ya michuano inayoendelea au katika statistiki za utazamaji wa mechi wa moja kwa moja katika Betway.


Sehemu ya Spoti za Kielektroniki

Viwanja vya michezo vya Betway

Wakati spoti za kawaida zisipopatikana, Betway inahakikisha kuwa una michezo ya spoti za kielektrobiki ambazo pia zinakupa masoko kadha ya kusisimua. Baadhi ya spoti hizi ni kama Counter Strike, Overwatch na League of Legends.

Kushiriki katika michezo hii, bonyeza sehemu ya ‘eSports’ kutoka kwenye menyu kuu ya Betway.


Kasino ya Betway kwa Watanzania

Hata ingawa Betway imejikakamua kuwapa wachezaji wake sehemu tofauti za michezo, sehemu ya kasino kwa Watanzania kwa sasa haipo. Hata hivyo, hili haliimanishi kuwa haitakuwepo siku zijazo. Tunatazamia wakati huu ili pia tuweze kubaini bakshishi zinazotolewa kwa wachezaji wa kasino.


Njia za Malipo

Betway Tanzania inakupa njia tofauti za kukuwezesha kufanya malipo yako. Njia hizi ni kama zifuatazo na una uhuru wa kuchagua njia yoyote:

Payment MethodDeposit MinimumDeposit MaximumTime for Deposit
Airtel LogoAirtelTSh 1,000TSh 1,000,000Mara moja
M-Pesa LogoM-PesaTSh 100TSh 1,000,000Mara moja
Tigo LogoTigoTSh 1,000TSh 1,000,000Mara moja
Vodacom LogoVodacomTSh 1,000TSh 1,000,000Mara moja
Payment MethodWithdrawal MinimumWithdrawal MaximumTime for Withdrawal
Airtel LogoAirtelTSh 1,000TSh 1,000,000Siku 1-3
M-Pesa LogoM-PesaHaipatikaniHaipatikaniHaipatikani
Tigo LogoTigoTSh 1,000TSh 1,000,000Siku 1-3
Vodacom LogoVodacomTSh 1,000TSh 1,000,000Siku 1-3

Programu ya Rununu ya Betway

Programu ya rununu ya Betway

Ili kuhakikisha uwekaji wa beti kwa njia rahisi katika kampuni nyingi za kamari, utapata kuwa kampuni nyingi zimeunda apu maalum za rununu ambazoi unaweza kudungua na kuweka katika rununu yako. Apu hizi zinakuwezesha kuweka beti pahali popote pale ulipo na kwa wakati wowote. Hata hivyo, Betway haina apu yoyote kwa rununu za Androidi wala za IOS.

Badala ya kutengeneza apu yoyote ile, Betway inawapa wateja wake nafasi ya kucheza katika tovuti ya rununu ambayo ni rahisi sana kutumia. Kuingia kwenye tovuti hii, unafaa kufungua Betway katika kivinjari cha chaguo lako. Baadaye, sajili akaunti ama uingie katika akaunti ya kale. Tovuti ya rununu ya Betway inakupa huduma zote zilizo kwenye tovuti kuu ya Betway bila kujisumbua na undunguaji na uwekaji wa apu kwenye rununu yako.


Programu ya Wahusika almaarufu Affiliates Program

Programu ya wahusika ya Betway inajulikana kama BetwayPartnersAfrika. Kupitia kwa program hii, una nafasi nzuri ya kujipatia kipato cha komisheni iwapo utakubalika kuwa mhusika kati ya wale waliopewa jukumu la kutangaza huduma za Betway kwa nia ya kuleta wateja wapya.

Unapokubalika, mameneja wa programu hii watakupa vifaa vya kufanikisha utangazaji wako wa Betway. Baadhi ya vifaa hivi ni kama mabango na linki maalum itakayotumiwa kuweka rekodi za wateja wapya wanaojiunga kupitia kwa matangazo yako.


Maswali ya Mara kwa Mara

Je, ninaweza vipi kuhakikisha na kudhibitisha akaunti yangu?

Ili kuhakikisha na kudhibitisha akaunti yako, unafaa kutuma kitabulisho chako pindi tu kinapohitajika katika tovuti ya Betway.

Je, Betway ni halali na ya kuaminika?

Naam, Betway ni tovuti halali na ya kuaminika. Inafanya operesheni zake chini ya udhibiti mkali wa Bodi ya Michezo ya Wizara ya Fedha katika nchi ya Tanzania. Kwa upana, Betway inafanya kazi kwa uangalifu wa leseni maarufu kote duniani.

Ninaweza vipi kutoa fedha za ushindi katika Betway?

Betway inawapa wateja wake njia kadha za kutoa ushindi katika akaunti yako. Nyingi za njia hizi ni zile za rununu na mifano yake ni kama Tigopesa, Vodafone Mpesa, Airtel Money na Huduma Agent.

Ninaweza kubadilisha odi za desimali?

Betway inawapa wateja wake machaguo mawili ya odi. Mfumo mkuu ni ule wa desimali lakini unaweza kubadilisha utazame odi hizi katika mfumo wa akisami.

Nitakuwa naweka maelezo yangu ya malipo kwenye hatari nikiyaweka katika Betway?

La hasha. Hutakuwa unaweka maelezo yako ya malipo katika hatari yoyote kwa sababu Betway Tanzania ina mikakati kadha ya kuhakikisha kuwa kila kitu unachoweka ki salama.

Ninaweza kuweka beti yangu katika michezo inayoendelea?

Naam, unaweza kuweka beti zako katika michezo inayoendelea. Ili kufanya hivo, vinjari sehemu ya ‘Zinazoendelea’ na utapata matukio yanayoendelea kwa wakati huo.

Nitaitumia vipi bakshishi yangu ya ubashiri wa bure ya Betway?

Unapopata bakshishi ya Betway, unafaa kuitumia katika uwekaji wa beti zako. Hata hivyo, ni vyema ufahamu kuwa ubashiri huu huwekwa kama beti moja na wala siyo zaidi.


Kuhusiana na Betway

Betway ni kampuni maarufu sana katika spoti za beti. Kampuni hii ya Malta imekuwa katika operesheni kwa muda wa miaka takribani 15. Katika ulimwengu, Betway ina kikapu cha wateja zaidi ya milioni 15 na hapa Tanzania pekee, kuna mamia ya maelfu ya wachezaji. Sababu ambazo zinapelekea kukua na kunawiri kwa Betway nchini Tanzania ni kuwepo kwa spoti nyingi na masoko ya beti, usalama wa hali ya juu, njia mwafaka za malipo na udhibiti kutoka kwa Bodi ya Michezo chini ya Wizara ya Fedha ya Tanzania.

Licha ya umaarufu mkubwa wa Betway Tanzania, bado wachezaji hawana nafasi ya kucheza michezo ya kasino na ya kasino ya moja kwa moja. Hata hivyo, tuna matumaini makubwa kuwa sehemu hizi zitaanzishwa hivi karibuni.


Usalama na Udhibiti wa Betway

Katika uchanganuzi wa usalama wa Betway, tunafaa kutathmini mikakati ilioyowekwa na Betway ili kuhakikisha maelezo ya wateja wake hayamo kwenye hatari ya kufkiwa na watu wasiotarajiwa. Bila kupoteza muda, ni vyema tuweke mambo wazi kuwa kampuni hii inatumia njia za kiteknolojia kama vile SSL encryption na firewalls ili kuhakikisha data ya wateja i salama.

Hatimaye, Bodi ya Michezo iliyo chini ya Wizara ya Fedha ya Tanzania inatoa udhibiti mkali ili kuhakikisha Betway haikiuki sheria zozote au kuwanyanyasa wateja wake kwa njia yoyote ile.


Njia za Mawasiliano

Njia za kuwasiliana na Betway kwa wachezaji wa Tanzania ni kama zifuatazo:

 • Huduma ya live chat ipo
 • Baruapepe: [email protected]
 • Unaweza kutumia mitandao ya kijamii kuwasiliana na Betway kama Facebook na Twitter.

Uamuzi wa Mwisho na Makadirio

Kizuri chajiuza nacho kibaya chajitembeza. Bila shaka yoyote, Betway ni kizuri ambacho chajiuza kwa sababu anuwai. Baadhi ya hizi ni kama spoti tele, odi za kukata na shoka, njia faafu za malipo na vigezo vingine vingi. Kwa hili, tunaamini kuwa Betway ni tovuti ya wachezaji wa aina zote, wale wapya na wale wazoefu.

Jiunge na Betway

Betting expert Elica Martinova
Elica Martinova
Ellie is in charge of writing, editing, and publishing reviews in Bulgarian, English, and German. She has a long track record as a journalist and is passionate about writing. Also, she is quite experienced when it comes to bookmakers as well.