Kodi ya Bakshishi ya Betway Tanzania

Kodi ya Bakshishi ya Betway Tanzania
Rating 4.7 from 3 reviews
Valid for : 04 Oct 2022
Aina ya BonasiMaelezoNambari ya bonasi
Betway Tanzania Bonasi ya Michezohadi 3,000 TZs
Fichua msimbo
Kashibakihadi 20x katika Beti za Mkusanyiko
Fichua msimbo
Bakshishi ya Kuzidisha UshindiBonus kwa Wakusanyaji
Fichua msimbo
Matangazo kabla ya mechiSifa ya ziada
Fichua msimbo

Sehemu/Mahali pa Kuingiza Kodi ya Bakshishi katika Betway

Bakshishi za Betway zinatolewa na kampuni hii maarufu kwa ukarimu mkubwa. Ila ni lazima uwe umesajiliwa kama mchezaji katika Betway ili upate bakshishi yoyote kutoka kwake. Vile vile, unaweza ukatumia msimbo/kodi maalum ya kuwezesha bakshishi zako kama unayo. Hebu tuangazie jinsi ya kusajili akaunti na mahali pa kuweka kodi ya bakshishi ya Betway:

Nambari ya ziada ya betway ingiza
 1. Fungua tovuti ya Betway na moja kwa moja uelekee katika sehemu ya usajili katika kona ya upande wa kulia ya kiwamba chako
 2. Bonyeza usajili na utapata fomu mbili ambazo utaweka maelezo yako ya kibinafsi ukianza na nambari ya simu, baruapepe, tarehe ya kuzaliwa na mengineyo.
 3. Ingiza nambari yako/kodi maalum ya kuwezesha bakshishi kama unayo.
 4. Kubaliana na sera ya faragha au privacy policy, na sheria na masharti ya Betway ili uendelee an usajilo wako.
 5. Bonyeza kitufe kilichoandikwa ‘Jisajili’ katika ukingo wa fomu ya usajili ili kukamilisha zoezi hilo muhimu.
 6. Hata kama kuna sehemu ya msimbo wa bonasi, siyo lazima uwe na kodi hiyo. La muhimu ni kujisajili kama mteja na kudai bakshishi zako bila wasi wasi na utazipata.

Pata Bonasi


Bakshishi ya Mwaliko ya Wateja Wapya wa Betway

Bonasi ya kukaribisha michezo ya Betway

Kama umesajili akaunti yako mpya mara ya kwanza, Betway inakutuza kwa kuwa mchezaji wa mara ya kwanza. Tuzo hili linatolewa kwako mara moja kama ubashiri wa bure usiyozidi 3,000TZS. Kwa kutumia ubashiri huu, unaweza kuweka beti yako ya kwanza ili ufahamu jinsi Betway inavyofanya kazi.

Katika kudai bakshishi hii, unafaa kutumiwa OTP maalum na Betway na hii utaiweka katika sehemu ya vocha ya akaunti yako ili kuwezesha bakshishi yako ya mara ya kwanza.

 • Yafuatayo ni mambo muhimu na masharti ya bakshishi ya mwaliko ya Betway:
 • Ubashiri unatolewa kwa wateja wapya waliotimiza umri wa miaka 18.
 • Ubashiri huu wa bure hauzidi 3000TZS.
 • Ofa hii ya mwaliko lazima iwekwe kama beti moja yote.

Una jumla ya siku 10 kutumia ubashiri wako wa bure na baada ya siku hizo, ubashiri huo utaharibika na hautaweza kuutumia tena.

Kiwango cha juu zaidi unachoweza kutoa kwa ushindi unaotokana na ubashiri wa bure ni 50,000TZS. Fedha zozote zinazobaki zinatwaliwa na Betway. Unapotoa ushindi wa ubashiri wako, hautaweza kutoa zile 3000TZS zilizowekwa na Betway. Utatoa tu kiwango cha fedha ulichoshinda kutoka kwa ubashiri wako wa bure.

Utoaji wa fedha zozote katika akaunti yako ya Betway unapelekea kutwaliwa kwa ubashiri wako wa bure.

Dai bonasi yakoOfa wa Mwaliko katika Upande wa Kasino wa Betway

Kwa sasa, wateja wa Betway wa Tanzania hawana nafasi ya kucheza michezo ya kasino na ya live casino. Hivyo, hakuna uwezekano wowote wa Betway kuwapa wateja hawa bakshishi ya aina yoyote. Hata hivyo, mambo yanabadilika kwa kasi haswa katika ulingo huu na huenda Betway ikawapa wateja wa nchi hii huduma za kasino pia nao wafurahie. Bila shaka, kutolewa kwa kasino kwa Tanzania kutaleta bakshishi kadha pia.


Promosheni za Wateja Waliosajiliwa katika Betway

Tunafahamu fika kwamba kama wewe ulisajili akaunti yako hapo zamani, unaweza kumezea mate sana bakshishi ya wateja wapya. Lakini pia nawe Betway imekufikiria sana na ndiposa imeunda sehemu ya promosheni. Sehemu hii inatoa habari za kusisimua kuhusiana na bakshishi za wateja wake waliosajili akaunti hapo zamani. Tulizipata ofa kama hizi tulipokuwa tukifanya uhakiki wetu wa bakshisi katika Betway Tanzania:

Kashibaki ya hadi 20x katika Beti za Mkusanyiko

Bila shaka yoyote ile, wateja wengi wansenda kuweka beti ya mkusanyiko ili wapate kiwango kizuri sana cha ushindi. Habari njema na ya kusisimua ni kuwa unapoweka beti ya mkusanyiko iliyo na kati ya machaguo 6 hadi 10 na chaguo moja likose kukupa ushindi, Betway itakulipa beti hiyo mara 20.

Ili nawe uhitimu kupata kashibaki ya 20x, ni lazima uhakikishe kuwa unaangazia matakwa haya yote bila kufeli:

 • Beti yako ya mkusanyiko ni lazima iwe na kati ya machaguo 6-10.
 • Ni lazima beti yako ya mkusanyiko iwe imewekwa kwa pesa taslimu ila sio kwa pesa za ubashiri wowote wa bure.
 • Iwapo utatumia huduma ya cash out, basi beti yako ya mkusanyiko haitapata bakshishi hii ya urejesho wa fedha ya 20x.
 • Iwapo uchezaji wako na matumizi ya akaunti yatatiliwa shaka, basi hutapata bakshishi hii.
 • Kiwango utakachopata katika ofa hii kitawekwa kwenye akaunti yako kikiwa fedha taslimu.
 

Bakshishi ya Kuzidisha Ushindi wako katika Beti ya Mkusanyiko

Kuongeza Betway ACCA

Kando na kukupa ushindi mkubwa, beti ya mkusanyiko katika Betway inakuwezesha kufurahia ofa kubwa ya kuzidisha ushindi wako hadi 100%. Ili upate zawadi hii, unafaa kuweka beti ya mkusanyiko na kisha upate ushindi katika legi zote ulizozichagua. Ni vizuri ujue kuwa jinsi unavyoweka machaguo mengi katika beti yako ya pamoja, ndivyo kiwango chako cha bakishishi kinazidi kupanda juu.

Haya hapa ni baadhi ya masharti ya bakshishi hii ya kuzidisha ushindi wa beti ya mkusanyiko:

 • Kiwango kidogo zaidi cha machaguo ya kuweka ni 5 na kile kikubwa cha kuweka ni machaguo 21
 • Ni lazima uwe na akaunti halali ya Betway ili kushiriki promosheni hii.
 • Ili busti yako ya ushindi ihesabiwe, ni lazima uwe na angalau machaguo matano katika beti yako ya mkusanyiko.
 • Machaguo yatakayohesabiwa ni yale tu yaliyotimiza kiwango kinachohitajika cha odi .
 • Baada ya uamuzi, ushindi wako wa busti utawekwa kwenye akaunti yako kama pesa taslimu.
 

Promosheni ya Utoaji kabla ya Mechi Kukamilika

Hata ingawa hii inapaswa kuwa sifa tu, Betway imeifanya huduma ya utoaji wa fedha kabla ya mechi kuwa bakshishi mojawapo ya zile zilizoorodheswa katika sehemu ya bakshishi zake. Kupitia kwa ofa hii, unaweza kutoa beti na uiuze kwa Betway upate kiwango fulani cha pesa pasi na kusubiri hadi tukio ulilobetia liishe. Kumbuka huduma ya Cash out inakupa tu sehemu ya beti yako hasa unapohisi kuwa beti yako huenda ikakuangusha.

Baadhi ya masharti kadhaa ya kufuatilia katika ofa hii ni kama yafuatayo:

 • Huduma ya kutoa inapatikana kwa beti moja na zile za kukusanywa.
 • Katika hali ambayo beti yako itafungwa kwa ombi lako na huduma ya cash out haikuwa imekamilika, basi huduma hiyo itakatizwa.
 • Betway haikutolei hakikisho kuwa kila tukio ni lazima liwe na huduma ya cash out.
 • Hutaweza kutumia huduma ya kutoa kabla ya muda iwapo umeweka beti yako kwa kutumia ubashiri wa bure.

Kwa nini nichague promosheni za Betway?

Kuna sababu kadha za kuchagua promosheni za Betway. Miongoni mwa sababu hizo ni kama zifuatazo:

 • Faida
 • Ni rahisi kudai bakshishi za Betway
 • Hutahitaji qualifying deposit yoyote
 • Bakshishi hizi zitakuwezesha kushinda fedha taslimu
 • Kuna bakshishi tofauti za kudai
 • Hata unaponuia kuichukua bakshishi hii, waza kuhusu vikwazo hivi:
 • Ni lazima usajili akaunti
 • Hasara
 • Kila bakshishi ina sheria na masharti yake
 • Bakshishi ya ubashiri wa bure haiwezi kutolewa

Naweza Kupata Bakshishi ya Betway pasi na kuweka pesa kwenye akaunti Yangu?

Naam, unaweza kupata bakshishi yoyote upendayo katika Betway pasi na kuweka kiwango chochote cha fedha kwenye akaunti yako. Hili ni kwa sababu ofa nyingi za Betway si za kuzidisha fedha ila ni zile za kukusaidia kupata fedha kwa sifa kama cash out na build-a-bet. Kutokuwa na mahitaji kama kuweka fedha katika akaunti ili upate bakshishi ni jambo la maaana sana katika Betway.


Kuna bakshishi Maalum ya Wachezaji wa Rununu katika Betway?

Hata ingawa baadhi ya wachezaji wa Betway wanatumia njia ya rununu kucheza katika tovuti hii, hawa hawapati bakshishi yoyote maalum kutoka kwa kampuni hii. Kufanya hivi kutaleta ukosefu wa usawa miongoni mwa wachezaji na hivyo, kuna sehemu moja ya promosheni ambayo inawapa wachezaji wote nafasi sawa za kufurahia ofa na promosheni za Betway.

Hata hivyo, tuna matumaini kwamba Betway huenda ikaleta ofa za wachezaji wa rununu iwapo wataleta programu hususan ya rununu.


Njia za Malipo

Zifuatazo ni njia za kufanikisha malipo katika Betway hapa Tanzania. Tizama na kisha ufanye uchaguzi wako:

Payment MethodDeposit MinimumDeposit MaximumTime for Deposit
Airtel LogoAirtelTSh 1,000TSh 1,000,000Mara moja
M-Pesa LogoM-PesaTSh 100TSh 1,000,000Mara moja
Tigo LogoTigoTSh 1,000TSh 1,000,000Mara moja
Vodacom LogoVodacomTSh 1,000TSh 1,000,000Mara moja
Payment MethodWithdrawal MinimumWithdrawal MaximumTime for Withdrawal
Airtel LogoAirtelTSh 1,000TSh 1,000,000Siku 1-3
M-Pesa LogoM-PesaHaipatikaniHaipatikaniHaipatikani
Tigo LogoTigoTSh 1,000TSh 1,000,000Siku 1-3
Vodacom LogoVodacomTSh 1,000TSh 1,000,000Siku 1-3

Maswali ya Mara kwa Mara

Je nahitaji msimbo wa bakshishi wa Betway ili kufurahia bakshishi za tovuti hii?

La hasha. Sio lazima uwe na kodi maalum ili ufurahie bakshishi za Betway. Hata hivyo,unaweza ukaiweka kodi kama unayo katika hatua ya usajili wa akaunti.

Naweza kupata ofa ya free bet katika Betway?

Naam, unaweza kupata ofa ya free bet katika Betway baada ya kusajili akaunti yako mpya.

Nitaweza vipi kuwasiliana na huduma kwa wateja katika Betway?

Kuna njia tofauti za kuwasiliana na huduma kwa wateja katika Betway. Njia hizi ni kama baruapepe, mitandao ya kijamii na live chat.

Ni lazima niwe na akaunti ili kupata ofa za Betway?

Naam, ni lazima uwe umesajili akaunti ya Betway ili uweze kufurahia ofa zake mbali mbali.

Naweza kupata ofa ya free spins katika kasino ya Betway?

Hata ingawa Betway ina kasino kwa wachezaji wa nchi nyingine na inawapa bakshishi ya free spins, wachezaji wa Tanzania hawana nafasi ya kucheza kwenye kasino.

Inawezekana kuweka beti kadha kwa kutumia bakshishi ya ubashiri wa bure?

La hasha. Huwezi ukaweka beti kadha kwa kutumia bakshishi yako ya ubashiri wa bure kwani ni lazima itumiwe kama beti moja.

Kuna uwezekano wa kufungua akaunti mbili kwa maelezo ya mteja mmoja?

Hilo halikubaliki katika Betway.


Makadirio na Uamuzi wa Mwisho

Katika ukadiriaji wetu, tunaituza Betway kadirio la 9.5/10. Kadirio hili bora linatokana na umaarufu na uzuri wa promosheni zake. Ofa zake ni rahisi kudai, kupata na kutumia pia. Hata na masharti yake ni rahisi mno kufuata na hivyo hutakuwa na uzito wowote kupata bakshishi hizi. Jambo jingine la maana ni kuwa bakshishi za Betway zinatolewa kwa wachezaji wapya na wale waliosajili akaunti zao hapo zamani.
85%
85%
Welcome Offer - Sports
80%
Existing Players Offers
87%
Bonus T&C's
85%
Free Bets

Amount
In Percent
Min. Deposit
Turnover
Min. Odd
TSh 10,000
50%
TSh 100
3x
3.00
Pata Bonasi Hii
18+ T & C inatumika | gamingboard.go.tz | Cheza kwa uwajibikaji
Betting expert Elica Martinova
Certified Betting Expert
Elica Martinova
Ellie is in charge of writing, editing, and publishing reviews in Bulgarian, English, and German. She has a long track record as a journalist and is passionate about writing. Also, she is quite experienced when it comes to bookmakers as well.